Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania

Friday 24th, March 2023
@Mji wa serikali Mtumba, Dodoma, Tanzania
Wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma walishiriki katika uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanzania.