BURIANI RAIS MSATAAFU WA AWAMU YA PILI HAYATI.ALI HASSAN MWINYI 1925-2024

Posted on: February 29th, 2024

"Maisha ya mwanadamu ni hadithi tu hapa ulimwenguni. Basi ndugu yangu kuwa hadithi nzuri kwa hawa watakaosimuliwa. Hilo ndio ninaloliomba niwe hadithi nzuri kwa wale ambao watasimuliwa habar yangu"

.Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un.

Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana na libarikiwe.

PUMZIKA KWA AMANI HAYATI ALI HASSAN MWINYI