Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma
(General Hospital)

Ukaribisho

profile

Dr.IBENZI ERNEST
Mganga Mfawidhi

"Karibu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma Hospitali yetu ipo katikati ya Jiji la Dodoma .Hospitali yetu hutoa huduma mbalimbali pamoja na huduma za kibingwa kama ifuatavyo,Huduma za Mifupa,upasuaji mkubwa,Magonjwa ya ndani,huduma ya watoto,huduma za Mama na Mtoto,Afya ya Meno na Kiny...

Read more

Our Services All

Kituo cha kutolea chanjo ya Homa ya Manjano(Yellow Fever) Kituo kilianza tarehe 12/Mar/2019 Kituo hiki kilianzishwa baada ya kuona kuna uhitaji mkubwa kwa jamii kuhusu huduma hii, pia baada ya Serikali kuhamia hapa Dodoma.Huduma ya chanjo ya Homa ya Ma...
readmore

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma inatoa huduma maalum kama zfuatavyo

 • Ophthalmology
 • Orthopedic surgery
 • Internal Medicine
 • Emergency Medicine
 • Critical Care and pain management
 • General Pediatrics
 • General surgery
 • Obstetrics and Gynecolo...
readmore

Matukio All

Patient Visiting hours

•Monday-->Friday

 • From 09:00 to 10:00
 • From 07:30 to 09:00

•Saturday-->Sunday

 • From 09:00 to 10:00
 • From 04:00 to 05:00

Today's Clinics All

health education All

Homa ya Manjano
Saratani ya Shingo ya Kizazi

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI NI NINI?

Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cells zilizoko katika shingo ya kizazi. Mabadiliko haya hupelekea chembe chembe hizo kushamiri na kuzaliana kwa kas...

read more
Training

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma kupitia kitengo chake Tehama cha Hospitali kinaendelea na zoezi la ufundishaji wa jinsi na namna ya kutumia mfumo wa kukusanyia taarifa mbalimbali za wagonjwa kwa watumishi wa  hospitali

read more

Ministry Content All

Matangazo All